NEWS : Academic

img

Matokeo mock mkoa 2020.

Wanafunzi kumi bora ktk mtihani wa mkoa wa dar es salaam leo ktk hafla ya utangazaji wa matokeo hayo leo trh 2/9 /2020, walio valia t-shirt ya njano ni wanafunzi kutoka shule ya ZAWADI, shule imefanikiwa kutoa wanafunzi wawili kuingia 10 bora.

         MUNGU IBARIKI ZAWADI! 

 

  • SOCIAL SHARE :