NEWS : Academic

img

Matokeo ya mtihani wa Taifa drs 7, 2022.

Kwa mara nyingine tena Tunamshukuru Mungu kwa kuendelea kufanya vizuri ktk matokeo ya mtihani wa Taifa drs la 7 mwaka 2022. Yesssss tumeongeza ufaulu kwa asilimia (6%) kutoka 66% mwaka Jana hadi 72% mwaka huu. Hakika pongezi za dhati ziwaendee walimu , wanafunzi wa drs 7 , wafanya kazi wote , wazazi na watu wote wenye mapenzi mema na shule yetu Mugu  awabariki sana.  VIVA ZAWADI. ALUTA CONTINUA.

  • SOCIAL SHARE :