NEWS : Academic

img

Merry x-mass & happy new year 2023.

Zawadi SCHOOLS tunawatakia siku kuu njema za mwisho wa mwaka. Mungu akubariki sana tunakushukuru kwa ushirikiano , maombi, ushauri na furaha tulizo shiriki Pamoja.  Mwaka wa 2023 ukawe mwaka wa neema na Baraka tele ktk Maisha na shughuli zetu wote   . 

  • SOCIAL SHARE :