NEWS : Sports-Games

img

ZAWADI KIDS BONANZA! .

Ni bonanza kubwa la watoto la kufunga mwaka ktk viwanja vya shule ya msingi na awali zawadi. Michezo mbalimbali ya watoto itakuwepo kama kuogelea, kubembea, kuimba, kucheza, kuchora uso, talent show na zawadi mbalimbali kwa washindi zitatolewa, mlete mwanao acheze na wenzake!Mtoto kkufurahi na usalama wake ndio kipaumbele chetu!!

Ni ijumaa trh 25/12/2020. Wote mnakaribishwaWadhamini: zawadi schools, assas diaries na mwanamke makini institute! 

  • SOCIAL SHARE :