NEWS : Academic

img

MTIHAN WA UPIMAJI DRS IV 202.

            Kila la kheri drs vi-2020

Tunawatakia kila lakheri wanafunzi wote wa darasa la nne ktk mtihani wao wa taifa unaofanyika trh 25-26/11/202, Mungu akawatangulie na nuru ya uso wake ikawaangazie wawe na utulivu na kujibu vyema mwisho wapate ufaulu mzuri. 

         "Mungu ibariki zawadi" ! 

  • SOCIAL SHARE :