NEWS : Academic

img

Likizo time & holiday package..

      NAWASALIMU KTK JINA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TZ.

Pamoja na likizo ndefu ya takribani mwezi mmoja, uongozi wa shule umeona si vyema watoto kukaa nyumbani bila kazi-darasa, hivyo tumeandaa holiday packages/ kazi ya nyumbani wakati wa likizo inayotakiwa kufanywa na wanafunzi wote na inapatikana ktk website ya shule; zawadischools.ac.tz hivyo tunakuomba ewe mzazi umsaidie mtoto kupata kazi hizo na kuzifanya. Ingiza kwenye website mahali palipo andika primary exams kisha login kwa kuandika user name na password kisha select exams type ambayo ni HOLIDAY EXAMS ,kisha download na uprint kwa ajili ya mtoto kufanya na itakusanywa siku ya kufungua shule.

Aidha tutaendelea kuongeza mitihani mara kwa mara hivyo endelea kutembelea website ya shule ili kupata updates

Nawatakia kila la heri

           Mungu ibariki zawadi.

 

  • SOCIAL SHARE :