NEWS : Academic

img

Matokeo &ripoti.

Baada ya shughuli pevu ya ufanyaji mitihani , hatimaye matokeo ya wanafunzi wote yametoka! Yanapatikana katika website ya shule na ripoti zote, unaweza ingiza ukaona maendeleo ya mtoto na kuprint ! Ukiwa mahali popote pale.

Aidha matokeo/ripoti na file la mtoto vinapatikana shule hivyo fika shuleni siku ya alhamisi au Ijumaa ili kuchukua lakini pia utapata nafasi ya kuongea na waalimu wa masomo, darasa kwa mashauriano maalum.

Kumbuka file zitatolewa kwa siku hizo mbili tu!  

Kumbuka pia kuweka maoni yako kwenye system ili tuweze kupata mrejesho !

    Nawatakia majukumu mema

                     Mungu ibariki zawadi!!

  • SOCIAL SHARE :