NEWS : Academic

img

Tuzo za kitaifa 2022.

Shule imeshiriki ktk tukio la utoaji wa tuzo za ubora wa shule , ambapo shule yetu ya zawadi imefanya vizuri. Tumewakilishwa na masomo ya hisabati na kiswahili kwa kushika nafasi ya tatu kitaifa. Tuzo moja ya hisabati bna nyingine ya kiswahili pamoja na cheti kimoja. Mungu ibariki ZAWADI!

  • SOCIAL SHARE :