NEWS : Academic

img

Best of 2021.

The class of 2021: hakika wakipeperusha vyema bendera ya shule kwa :

1. Kuifanya shule kushika nafasi ya kwanza kukata.

2. Nafasi ya pili kiwilaya

3. Nafasi ya pili kimkoa (Dar es salaam)

4. Nafasi ya 23 kitaifa

5. Kupata tuzo mbili za kitaifa ktk masomo ya kiswahili na hisabati kwa kuwa namba tatu kitaifa ktk masomo hayo:

 Kazi nzuri vijana Mungu awatangulie..!

 

  • SOCIAL SHARE :