NEWS : Academic

img

PRO-FORM ONE & ENGLISH COURSE.

Je, una mtoto, rafiki au jiarni aliye hitimu darasa la saba mwaka huu? Mkutanishe sasa na wataaalamu wa laugha na kufundisha ! Hakika hautajuata. Malezi bora , elimu Bora kutoka kwa walimu wabobezi pia tuna kitengo cha unasihi kwa watoto waliokata tamaa na shule/maisha . Pia kuandaa wale wanaohitaji kwenda kufanya interviews ; karibu sana wasiliana nasi au fika ofisini kwa maelekezo zaidi.

  • SOCIAL SHARE :