NEWS : Academic

img

Vicational skills.

Wanafunzi wakijifunza kwa vitendo somo la stadi za kazi... Utengenezaji wa sharubati (juice), ni miongoni mwa stadi za maisha wanazotakiwa kujifunza shuleni.  Wanafunzi wamefurahi sana kushiriki kwa asilimia zote ktk somo hili. Tumekunywa sharubati traamu kabisa.... Hongera wanafunzi 

  • SOCIAL SHARE :