NEWS : Academic

img

MATOKEO YA MTIHANI WA TAIFA DRS LA SABA 2020.

Tuna mshukuru Mungu wa mbinguni kwa kutuwezesha kuendelea kupata matokeo mazuri ya mtihani wa taifa darasa la saba kwa miaka mitatu mfululizo sasa. Mwaka huu 2020 shule yetu imepata ufaulu wa  100% ambap kuna  A=43 na B= 8 tu. Hakika Mungu wetu ni mwema sana

  • SOCIAL SHARE :